YANGA YAMUOMBEA ULINZI JAJA

                                                                   MAXIMO

       Nahodha wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro'  amesema anaamini mshambuliaji mpya wa wa club hiyo  Geilson Santana 'Jaja' ataipa ubingwa timu hiyo msimu ujao lakini atakamiwa sana. Hivyo anaomba waamuzi wamlinde.
        Cannavaro amesema kati ya wachezaji ambao watakamiwa sana msimu ujao  Jaja ni namba moja kutokana na uwezo aliouonyesha wa kupachika mabao kwenye match za kirafiki pamoja na ile ya Ngao ya jamii.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA