ALIPA MILIONI 33 KUONGEZEWA TITI LA TATU

                                Justimine Tridevil katika pozi
             
             Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Justimine Tridevil mwenye umri wa miaka 21 amedai kufanyiwa upasuaji na kuongezewa titi la tatu kupitia mahojiano aliyoyafanya Redioni.
         Justimine ambaye ni raia wa Tampa Jijini Florida Nchini Marekani anayejishughulisha na huduma ya Massage alilipa kiasi cha dola za Marekani 20,000 sawa na mil. 33.4 za Tanzania kufanyiwa upasuaji huo.
         Mwana mama huyo katka mahojiano ya Real Radio 104.1 ameamua kufanya hivyo ili asiwe na mvuto kwa wanaume maana hataki na mpenzi huku akitaka kuwa staa katika TV japo alipoulizwa kwa nini hataki kuwa na mwenza hakutaja sababu.
         Takribani miaka 50 walikataa kumfanyia upasuaji huo wakiogopa kuvunja ya fani yao hivyo kumchukua miaka miwili kupata Daktari aliyekuwa tayari kufanya hivyo.Kwasasa mwanamke huyo anarekodi video itakayomuonyesha changamoto atazokutana nazo akiwa mwanamke mwenye matiti matatu
        Mtaalam aliyemfanyia upasuaji mwanamama huyo ambaye hakutaka kutaja jina lake, alichukua tisu katika tumbo la mama huyo ili kutengeneza titi hilo.Mrembo huyo amesambaza picha zake akiwa na vazi la bikini kwenye mtandao baada ya upasuaji huo.
      Mrebbo huyo amedai kukanwa na ndugu zake pamoja na mama yake mzazi ''Mama yangu alinikimbia anasema hataki kuongea na mimi wala hataki dada yangu aongee na mimi baada ya kuongeza titi la tatu'' alisema mwanamama huyo.
     Mbali na furaha yake mrembo huyo bado anadai titi lake la tatu halifanani na mengine hivyo analazimika kujitengenezea mavazi yake mwenyewe ambapo ananunua mavazi mawili ya kuogelea kisha anaitaka ili kupata nguo itakayo kaa kwenye titi lakela tatu.





Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA