MBOWE ATINGA MAKAO MAKUU POLISI KUHOJIWA

 
  • MNYIKA, WANASHERIA WAZUIWA KUINGI
    Mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika akiwa ndani ya Gari baada ya kukataliwa kuingia 
    Tundu Lissu akiwasili
  •                         
    m
             Wanachama wa CHADEMA wakiwa wamekalishwa chini na Askari
                    
  •   Mbowe alihitajiwa  kufika katika Ofisi za makao makuu ya polisi Dar es salaam kuhusiana na kauli yake aliyoitoa juzi ya kuitisha maandamano kupinga kuendelea kwa  Bunge la Katiba                   

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA