TAMBWE ATISHIA KUONDOKA SIMBA

     

                                          AMISS TAMBWE

            STRAIKA mahiri wa Simba, Mrundi Amissi Tambwe, amesema amesikitishwa na taarifa ya kuchujwa na kuondolewa kikosini hapa baada kutakiwa kupunguza mchezaji mmoja wa kigeni kupisha usajili wa Okwi ili kukidhi idadi ya wachezaji watano wa kigeni wanaoruhusiwa kucheza katika clabu moja.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA