MOURINHO AMNUNIA LAMPARD

Frank Lampard akiwa na kocha wake wa zamani Jose Mourinho

          Uliiona sura ya Jose Mourinho baada ya Frank Lampard kusawazisha dhidi ya timu yake. Lampard akicheza kwa mara ya kwanza dhidi ya timu aliyoichezea miaka 13, alifunga bao la kusawazisha zikiwa zimebaki dakika chache mpira kumalizika baada ya Andre Schurrle kuipatia Chelsea bao la kuongoza dakika ya sabini.






Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA