Posts

Showing posts from May, 2016

BASI LA MWENDO KASI LAGONGA NA KUUA MTOTO

Image
Basi la mwendo kasi ( DART)  limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo Ajali hiyo imetoke leo katika  eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.                              Pikipiki iliyohusika kwenye ajali hiyo

ONGEZA KIPATO CHAKO CHA ZIADA KWA KUFANYA KAZI NA ITIKA TRUCKING & MARINE GENERAL AGENCIES

Image
         ITIKA TRUCKING & MARINE GENERAL AGENCIES , Ni wakala wa usafirishaji mizigo Majini na nchi kavu, ni kampuni iliyosajiliwa kwa namba  291225  tarehe 11 November  2014  pia inajishughulisha na kazi za umwagaji vifusi barabarani, hivyo basi iwapo unakazi yoyote iwe ya kutoa makontena Bandarini, kusafirisha mzigo wowote,  kusafirisha mzigo nje ya nchi na hata nje ya Bara la Africa  kwa njia ya meli na ujenzi wa barabara na kazi zote zinazohitaji gari kuanzia tano usisite kuwasiliana nasi tutahakikisha kazi yako inaisha vizuri na mzigo wako unafika salama. Pia hata wewe mwananchi unakaribishwa kufanya kazi pamoja nasisi pindi usikiapo kuna kazi yoyote mahala popote unakaribishwa.                                   Usafirishaji Mizigo kwa njia meli                                   Gari za kumwaga kifusi

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI

Image
                                                                                                                                                                                                                        NA FADHILI PAULO Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafaham ika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani vimeandika namna watu walivyotibiwa magonjwa mbalimbali kutokana na asali. Sasa hivi kuna makala nyingi zilizo andikwa zikielezea kuhusu uwezo wa asali katika tiba ya magonjwa mbalimbali.Warusi na Wafaransa wanafahamika sana katika kufanya utafiti katika maabara kuhusu uwezo wa asali katika tiba mbalimbali. Katika makala hii tutaangalia tiba ya asali na mdalasini na namna ya kuitumia kutibu maradhi mbalimbali (asali tunayoizungumzia hapa ni asali safi yaani asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo). YAFUATAYO NI BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBI