Posts

Showing posts from July, 2016

MAITI YAZUILIWA MUHIMBILI KWA SABABU YA DENI, NDUGU WAOMBA MSAADA

Image
Hospitali ya Taifa Muhimbili imegoma kuruhusu mwili wa marehemu Bi Hilda Lukas miaka 30 aliyefariki dunia June 26 katika hospitali hiyo, akisumbuliwa na ugonjwa wa utumbo kutoboka huku ikidai lazima fedha yote wanayomdai marehemu ilipwe ambayo ni sawa na shilingi milioni moja na laki moja na nusu kwa mujibu wa ndugu wa familia kama gharama za kumuhudumia mgonjwa huyo.    Mama wa marehemu Bi Anna Zuaro na Bibi wa marehemu wameiomba serikali na wadau mbalimbali kuona namna wanavyoweza kuwasaidia kwani wao mpaka sasa hawana fedha za kuuondoa mwili wa mpendwa wao, huku gharama za kuuhifadhi mwili huo katika chumba cha kuhifadhi maiti zikizidi kuongezeka. Maafisaa wa Muhimbili wanakiri marehemu Hilda Lukas alikuwa amelazwa katika wodi ya kibasira chumba namba 9 ingawa haikuwa rahisi kuzungumza na maafisa hao. Uongozi wa mtaa wa Chang’ombe umesema umefanya juhudi nyingi tu zikiwemo za kuchangisha wananchi na wadau mablimbali lakini mpaka sasa bado hawajaweza kukamilisha kiasi hi

MAITI YAZUILIWA MUHIMBILI KWA SABABU YA DENI, NDUGU WAOMBA MSAADA

Image
Hospitali ya Taifa Muhimbili imegoma kuruhusu mwili wa marehemu Bi Hilda Lukas miaka 30 aliyefariki dunia June 26 katika hospitali hiyo, akisumbuliwa na ugonjwa wa utumbo kutoboka huku ikidai lazima fedha yote wanayomdai marehemu ilipwe ambayo ni sawa na shilingi milioni moja na laki moja na nusu kwa mujibu wa ndugu wa familia kama gharama za kumuhudumia mgonjwa huyo.    Mama wa marehemu Bi Anna Zuaro na Bibi wa marehemu wameiomba serikali na wadau mbalimbali kuona namna wanavyoweza kuwasaidia kwani wao mpaka sasa hawana fedha za kuuondoa mwili wa mpendwa wao, huku gharama za kuuhifadhi mwili huo katika chumba cha kuhifadhi maiti zikizidi kuongezeka. Maafisaa wa Muhimbili wanakiri marehemu Hilda Lukas alikuwa amelazwa katika wodi ya kibasira chumba namba 9 ingawa haikuwa rahisi kuzungumza na maafisa hao. Uongozi wa mtaa wa Chang’ombe umesema umefanya juhudi nyingi tu zikiwemo za kuchangisha wananchi na wadau mablimbali lakini mpaka sasa bado hawajawe

JOHN MNYIKA AFUNGUKA BAADA YA KIMYA CHA MUDA,AELEZA MSIMAMO WAKE WA KUTAKA LOWASSA AKAMATWE

Image
                                                       John Mnyika (Mb)   Mtakumbuka ni muda sasa sijaonekana wala kusikika katika harakati za kisiasa. Leo nimependa kuweka bayana ili umma wa watanzania ufahamu kwani kumekuwa na upotoshwaji mkubwa juu ya ukimya wangu. Napenda umma wa watanzania ufahamu yafuatayo:- 1. Msimamo wangu wa kuitaka serikali imkamate Mh Edward Lowassa, imhoji na imchukulie hatua kwa mujibu wa sheria kutokana na ushiriki wake katika kashfa ya RICHMOND haujabadilika kama ambavyo niliwahi kusema nikiwa mkurugenzi wa vijana wa CHADEMA tar 25 Februari 2008 na kipindi chote nikiwa Mbunge wa Ubungo. Hivyo nategemea kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi Lowassa ndiyo atakuwa wa kwa. Siwezi kusaliti msimamo wangu bora nipoteze ubunge wangu. 2. Sikukubaliana na utaratibu uliotumika kumpata mgombea urais ndani ya Chama changu hususani ujio wa Mh Edward Lowassa mmoja wa watu ambao ni mizizi ya ufisadi hapa nchini. Hali hii ilinilazimu nikae kimya kutokana na kut