TAMBWE; TUMEELEWANA NA OKWI SUBIRINI MOTO WETU


                     Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao ya ligi kuu Bara Ammisi Tambwe
                       Emmanuel Okwi mshambuliaji  hatari wa Simba

          Mshabuliaji wa Simba raia wa Burundu Amissi Tambwe amesema anafurahia ushirikiano wake na Emmanuel Okwi katika kikosi cha na kuahudi kuwa watafanya makubwa katika mechi zijazo. Kauli ya Tambwe imekuja kabla ya Simba kuivaa Polisi Moro katika Ligi kuu Bara kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini.
        Tambwe alieleza kuwa amefurahi kuona amefunga katika mchezo wa kwanza wa Ligi kuu Bara na kumwagia Sifa Okwi kwa uwezo
''Tumecheza vizuri na Okwi ni mchezaji tunaeelewana vizuri .Naamini tutafanya vizuri zaidi hapo mbele
 Lengo ni kuhakikisha tunaitumikia vizuri timu yetu na kuona inafanya vizuri msimu huu'' alisema Tambwe.









Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA