MBOWE ASHINDA NAFASI YA UENYEKITI CHADEMA


       Freeman Mbowe ameshinda tena nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa baada ya kupata jumla ya kura 789 huku mpinzani wake Ngambaranyela Mongatero akipata akipata kura 20.


      Freeman Mbowe akiwasalimia wajumbe wa Mkutano mkuu wa CHADEMA
                            Wajumbe wa mkutano mkuu wakifuatilia mkutano huo

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA