RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA SUDAN KUSINI SALVAR KIIR JIJINI DAR

       





        




         Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salvar Kirr Mayardit wa Sudan Kusini uliotolewa na mjumbe maalumu Generali James Kok Ruea jana Jumamosi Septemba 14 mwaka huu Ikulu Jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na mkuu wa kituo cha Marrti Ahtisari kwa nchi za Africa chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA