ALIVYOFANYIWA MESSI BARCA IKILAZIMISHWA SULUHU

 Beki wa Malaga, Weligton akimkwida mashavuni nyota wa Barcelona ,Lionel Messi kabla ya kumsukuma chini hadi akapewa kadi ya njano na Refa Alejandro Hernandez, timu hizo zilitoka sare bila kufungana katika mchezo wa La Liga usiku wa kuamkia leo.
Lionel Messi baada ya kusukumwa na na beki wa Malaga,Weligton.






Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA