MGOSI; JAJA AKIZOEA BONGO ATAKUWA HATARI

         Straika wa Yanga Mbrazil Geilson Santana 'Jaja
      
       Straika wa timu ya Mtibwa Sugar ya Mkoani Morogoro, Mussa Hassan Mgosi amemtabiria makubwa straika wa Yanga, Mbrazil Geison Santana 'Jaja' kwa kusema atakuwa mchezaji mzuri pindi atakapozoea mazingira ya Tanzania na viwanja vyake.
      Jumamosi iliyopita Mgosi aliifungia timu yake bao moja katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga, huku Jaja akishindwa kufunga na na kukosa Penalt.
     Mgosi alisema Jaja ni mchezaji mzuri ila bado hajazoea viwanja vya Tanzania ndio maana anapata wakati mgumu.Anahitaji kuzoea mazingira ya viwanja vyetu vya Tanzania ndipo aweze kufanya vizuri.



Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA