ULIMBOKA ; KIIZA NI BORA ZAIDI YA JAJA


           STRAIKA wa zamani wa Simba Ulimboka Mwakingweamesema kuwa  kocha  Maxio Maximo amechemka kumpa kipaumbele Jaja, Mwakingwe amesema kuwa Maximo hatafaidi chochote kwa Jaja iwapo atamuweka Kiiza kuwa chaguo la pili la Straika mmalizaji.



                                                                   HAMIS KIIZA





















  

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA