ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DALADALA MBAGALA JIJINI DAR

           Askari wa usalama barabarani aliyefahamika kwa jina la Riziki WP 2806 CPL, aligongwa na daladala aina ya DCM akiwa katika harakati zake za kutimiza majukumu yake ya kazi eneo la Mbagala rangi tatu jana asubuhi.
          Baada ya ajali hiyo, askari huyo alikimbizwa katika  katika Hospitali ya Temeke  na baadae kuhamishiwa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili na hali yake inaendelea vizuri.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA