MCHAWI ADONDOKEA KANISANI




























        Mwanamke mmoja aliyedaiwa mchawi amedondoka usiku wa saa saba na kujikuta hawezi kutembea. Tukio hilolilitokea Septemba 13 mwaka huu wakati waumini wa kanisa la  Paradise Inter national Ministries lililopo karakata Ukonga jijini Dar, wakiwa wamezama katika maombi.
      Wakiwa kwenye maombi nabii Gideon Parapanda  aliwaambia waumini wake kuwa kutatokea mambo ya ajabu kufuatia maombi hayo.
       Ilipofika saa saba mwanamke huyo akiwa na wenzake watatu walidondokea kanisani hapo na kusababisha taharuki kwa waumini waliokuwa wakifanya maombi ndani.Mwanamke huyo alikuwa na kitambaa chekundu kikidaiwa kuwa ni hirizi, fimbo nyeusi iliyozungushiwa shanga na kujipaka masinzi mwilini.
     Mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Aisha mkazi wa Mwananyamala alipandishwa madhabahuni na kukiri kuwa walikuwa watano ambapo wawili walifanikiwa kukimbia bila kueleza alikuwa wanatoka wapi na kwenda wap










































Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA