Posts

Showing posts from August, 2016

KIJUE KILIMO CHA KISASA BILA KUBAHATISHA PIMA UDONGO WAKO SASA

Image
Woote tunajua kuwa kila zao hustawi katika aina flan ya udongo. Sio kweli kuwa kila udongo unakubali mazao yoote je vipi utajua?  Pima udongo wako kwa bei nafuu kujua udongo wako una uchachu uchachu /tindikali kiasi gani (soil ph). Kisha fanya haya hapa:- 1? zalisha zao lenye ph inayolandana na udongo. Au 2? pandisha ph au shusha ph ili iwe sawa sawa na zao lako.  Utapandisha kwa kuweka dolomite au agricultural liming kiasi maalumu kutokana na ukubwa wa shamba lako. (tutakushauri). Kama ni kushusha utaaply sulfur kias maalumu. Hapa ndipo ambapo kila zao litapata virutubisho vyake kama udongo hauna ph husika utakosa virutubisho hivyo. Mazao yatakuwa chini miaka yote na wanashauri usiweke mbolea kwanza kabla hujajua ph je twafanya hivyo? Angalia list hii *PH ZA MAZAO BAADHI* Tomato 5.5-7.5 Onion 6.0-7.0 Watermelon 5.5-6.5 Cabbage 6.0-7.5 Chinese Cabbage 6.0-7.5 Cucumber 5.5-7.5 Rice 5.0-6.5 Sorghum 5.5-7.5 Soybean 5.5-6.5 Spinach 6.0-7.5 Peanut 5.0-6.0 Be