BUNGE LA KATIBA LACHAFUKA




      Bunge maalumu la Katiba limechafuka wakati wa majadiliano ya Taarifa za Kamati baada ya Mbunge wa Nkasi Kaskazini -CCM  Ally Kessy kusema serikali ya Zanzibar inatumia fedha za Tanzania Bara kuendesha mambo yake ikiwemo kulipwa mishahara.

         Wabunge kutoka Zanzibar wamemshambulia kwa maneno makali wakidai amewavunjia heshima hali iliyopelekea mwenyekiti wa Bunge hilo Samuel Sitta  kuingilia kati kutuliza mzozo huo.


MBUNGE WA NKASI KASKAZINI -CCM ALLY KESY AKIWA BUNGENI




Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA