MOURINHO; COSTA HAWEZI KUCHEZA MECHI TATU KWA WIKI

        Mshambuliaji wa timu ya Chelsea Diego Costa.
Kocha wa timu ya Chelsea Jose Mario dos Santos Mourinho Felix  ''Jose


           KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba Diego Costa hawezi kucheza mechi tatu kwa wiki kwa sababu ya maumivu ya nyama aliyoyapata akitumikia timu yake ya Hispania.
         Costa amefunga mabao saba katika mechi nne za awali Chelesea. Alilazimika kuanzia Benchi katika mchezo wa ya 1-1 na Schaike Ligi ya mabingwa Ulaya usiku wa jana na kuingia kipindi cha pili katika dakika ya 74.
        Pamoja na hayo Mourinho hakuwa na malalmiko yoyote kwa Hispania zaidi ya kusema wao pia wanamhudumia vizuri mshambuliaji huyo juu ya matatizi yake ya misuli yanayomkabili.




Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA