TANZANIA YAZIDI KUSHUKA VIWANGO VYA FIFA


       Shirikisho la Soka Duniani FIFA limetangaza viwango vipya vya ubora Duniani kwa mwezi Septemba 2014 huku Tanzania ikishuka kwa nafasi tano kutoka 110 hadi 115.
    Tanzania imeonekana kuzidi kuporomoka katika viwango hivyo baada ya orodha ya Agosti 14 kushika nafasi ya 106.
     Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Septemba 18,2014 Ujerumani ndio vinara katika kumi bora wakifuatiwa na Argentina, Colombia, Uholanzi, Ubelgiji, Brazil, Uruguay, Hispania na Switzerland.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA