KIONGERA KUTIBIWA NJE YA NCHI

                                  Patrick Kiongera

           Daktari maarufu wa michezo ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema kuwa kunauwezekano mkubwa Simba ikalazimika kumpandisha Ndege mshambuliaji wake Paul Kiongera akatibiwe.
            Daktari huyo amesema kama Kiongera anaugonjwa sugu wa goti ni vigumu sana kunusurika kufanyiwa upasuaji ''ugonjwa wa goti unamambo mengi siwezi kusema kila kitu kwa kuwa majibu ya            Kiongera sijayaona, Kama ni ugonjwa sugu asilimia kubwa ni upasuaji na mara nyingi ni nje ya Nchi'' alisema daktari huyo bingwa.
        Kiongera alikaa nje kwa wiki sita ambao ni muda wa wiki mbili na nusu, hata hivyo majibu ya daktari aliyempima ndio yaataamua wapi akatibiwe.

Kiongera aliumia katika mechi dhidi ya Coastal Union akiwa ameingia kuchukua nafasi ya Amissi Tambwe

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA