TORRES APOTEZA FEDHA KWA KUKIMBIA BENCH

         Bora kuwa nacho kuliko kukosa kabisa, Hofu ya benchi imemkimbiza na kukubali  kupotezea pound 115,000 baada ya kuamua kwenda kucheza kwenye ligi ya Serie A ambapo miaka yake miwili atakayodumu San Siro atakuwa akilipwa paundi 60,000 tu kwa kila wiki. ni pesa kidogo kwa mchezaji wa aina yake.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA