TAMBWE- ''NIMEIJUA JEURI YA JAJA''

                                                           Jaja
                                         Ammis Tambwe

       Mshambuliaji wa timu ya Simba Ammis Tambwe amesema uwezo wa Jaja unatokana na kuwa katika timu yenye wachezaji wenye uwezo wa mkubwa kama Mrisho Ngassa na Simon Msuva .Aliongeza kuwa hajawahi kumuona Jaja lakini kwa taarifa alizozipata juu ya Mchezaji huyo ni kwamba uwezo wake ni kutokana na kujaaliwa kuwepo kwenye timu hiyo.





Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA