MTAISOMA NAMBA MSIMU MPYA LIGI KUU

       Baada ya kujitapa sana sasa Simba na Yanga wametangaza kuwa atakayezubaa ataisoma . Mechi hizo zitashuhudia nyota kadhaa waliosajiliwa na msimu huu wakupambana kuweka rekodi zao katika timu mpya huku makocha waliokuwa wakiziandaa timu zao kwa takribani miezi mitatu katika kuweka heshima.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA