AJALI YA DCM NA RAV 4 MAENEO YA ILALA


Muonekano wa Gari hilo lilivyogongwa kwa nyuma.

          Ajali imetokea leo mchana maeneo ya njia panda ya Ilala ambapo gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 zenye namba za usajili T 606 CHH lililogogwa na Toyota DCM linalofanya safari zake kati ya Posta na Tabata Kimanga Rav 4 ilifunga breki gafla na basi likagonga kwa nyuma.Hakuna majeruhi wala mtu aliyefariki.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA