MESSI ASHEHEREKEA MIAKA KUMI NA NNE NDANI YA BARCELONA

 Mshambuliaji wa timu ya Argentina na Barcelona, Lionel Messi

 
                             Picha ya kitambulisho cha Messi                          


          Messi amefikisha miaka kumi na nne akiwa na umri wa miaka 13 akitokea kwao Argentina. Mkali huyo ambaye sasa ana umri wa miaka ishirini na saba, amesheherekea miaka hiyo mtandaoni kwa kuweka picha ya kitambulisho chake cha kwanza kabisa Hispania, Klabu yake pia imeweka kitambulisho hicho kama kitambulisho kama kumbukumbu.
         Tayari Messi ameshaichezea Barcelona mechi 460 na kushinda makombe sita ya La Liga, mawili ya Copa de Rey ya Spanish cup na matatu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


                                                 DATA ZAKE

Mechi 460
Mabao 367
 Makombe
  1. La Liga     6
  2. Copa de Rey 2
  3. Spanish Supercup  6
  4. Champion League 3
  5. FIFA Club World cup 2

















                             

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA