MTOTO WA MIEZI MINNE ATUPWA, AOKOTWA NA DINA MARIOS

 http://photos-c.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10919112_407636222736794_353886209_n.jpg

 Leo tunalea mtoto tumemuokota mama yake kamtupa.Ameokotwa mitaa ya nyumbani kwangu kwenye majani.
Tushampa jina anaitwa Comfort sio mimi nilompa jina lakini.
http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10919524_1653497888211148_462297742_n.jpg

 http://photos-f.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10932630_327594670781645_1932046470_n.jpg

 Mama wa mtoto huyu kamtupa amekesha usiku kucha kwenye majani akilia mpaka sauti imekauka.Ameng'atwa na mbu kila mahali kalikuwa kamejinyea kananuka pengine hakakuoga siku tatu.
http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10950592_1003759189653572_1721958496_n.jpg





















Baada ya kushiba usingizi maana amekesha manyasini.Huo uso ni mbu hizo.Mama ake alimuacha na kirambo cha nguo chafu na kipande cha sabuni ili watakaomuokota wafue 

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA