DENTI WA CHUO KIKUU MWAKA WA MWISHO ALA KICHAPO KWA KUIBA BASKELI

Amebakisha miezi mnne tu kumaliza chuo



denti wa chuo kikuu cha Jordan,Morogoro anayeitwa Somi Endless mekamatwa akiiba baiskeli iliyokua imeegeshwa maeneo ya chuoni hapo.

kijana huyo anayefahamika kwa jina la Somi Endless ambaye anasomea ualimu akiwa 

mwaka wa tatu yaani amebakiza miezi kama 5 hv amalize chuo inasemekana ni mtumiaji 

mzuri wa bangi na hata mahudhurio yake darasani ni ya shda

Aliokolewa na polisi na kupelekwa kituoni kwa mahojiano zaidi.







Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA