BREAKING NEWS: PROFESA MUHONGO AJIUZULU RASMI

Taarifa kutoka hapa kwenye mkutano na waandishi wa habari  kwenye ofisi za Wizara ya Nishati na Madini ni kwamba Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kujiuzuru.
Profesa Muhongo amechukua hatua hiyo ambayo inasemekana alionekana Ikulu saa moja iliyopita na aliporudi ametangaza maamuzi hayo,endelea kufatilia millardayo.com kwa taarifa zaidi.
Kwenye sakata la Escrow,Profesa Muhongo atakua ni Waziri wa pili kupoteza nafasi zao kwenye Wizara zao baada ya mama Anna Tibaijuka.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI