MBUNGE WA MBEYA MJINI ANUSURIKA KUFA KWA AJALI KITONGA







Mbunge wa mbeya mjini mr sugu akiwa na rafiki yake kando ya gari lao baada ya 

kupinduka katika mteremko wa kitonga leo.

Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph mbilinyi a.k.a Mr Sugu kupitia chama ca demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] amenusurika kifo baada ya gari lake kupinduka katika mlima kitonga wilaya ya kilolo kwenye barabara kuu ya Iringa -


Dar es salaam.


Ajali hiyo imetokea mchana wa leo wakati gari hilo likiwa na watu wanne 

likitokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es salaam,na hakuna aliyepoteza maisha 

katika ajari hiyo.


Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi amethibitisha kutokea 

kwa ajali hiyo japo amesema taarifa kamili itatolewa na askari polisi 

waliokwenda 

katika tukio hilo la ajali.



Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA