IKULU YAITISHA MKUTANO WA GHAFLA LEO



Ikulu imeitisha mkutano wa ghafla na waandishi wa habari,

Tetesi ni kwamba mkutano huu umeitishwa ili kutangaza mabadiliko madogo ya mawaziri na mawaziri hawa wanapaswa kuapishwa kesho kabla ya Rais Kikwete kuondoka kwenda Davos Uswisi kesho hiyohiyo jioni. 
.

UPDATES

Mabadiliko ya Mawaziri

.Mawaziri wawili wamejiuzulu
i) Ardhi-Tibaijuka
ii)Nishati na madini-Sospeter Muhongo

Walio teuliwa
1. George Simbachawene- Waziri Nishati
2.Mary Nagu-Waziri wa Nchi mawasiliano na Uratibu
3.Christopher Chiza-Waziri uwezeshaji na Uwekezaji
4.Halson Mwakyembe-Ushirikiano wa afrika mashariki
5.Lukuvi-Ardhi Nyumba na Makazi
6.Steven Wasira-Kilimo chakula na Ushirika
7.Samwel Sitta -Wizara ya Uchukuzi
8.Jenista Muhagama-Sera na uratibu wa Bunge

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI