HAYA HAPA NI MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI NA MANAIBU WAKE

JK
Leo huenda ikawa moja ya siku ambazo zitaingia kwenye headlines kubwa za siasa TANZANIA 2014/2015 ambapo January 24 2015 mchana kulikuwa na taarifa za kujiuzulu kwa waziri Muhongo aliyekua kwenye Wizara ya nishati na madini.
Kubwa nyingine kwenye upande huohuo ni ishu ya Rais Kikwete kutangaza mabadiliko madogo ndani ya Baraza la Mawaziri ambako kuna waliohamishwa na wapo waliokuwa Manaibu Mawaziri sasa ni Mawaziri, list yote ni hii hapa;
Mawaziri
George Simbachawene – Waziri wa Nishati na Madini
Mary Nagu- Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Mahusiano na Uratibu
Christopher Chiza- Waziri Uwezeshaji na Uwekezaji
Harrison Mwakyembe- Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
William Lukuvi- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi
Steven Wasira- Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Samuel Sitta- Waziri wa Uchukuzi
Jenista Muhagama- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge
Manaibu Waziri
Stephen Masele - Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu Rais- Muungano
Angela Kairuki -Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi
Ummy Mwalimu - Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Anne Kilango - Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 
Charles Mwaijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI