BABA AJIUA KWA KUONA PICHA ZA UTUPU ZA BINTI YAKE

loreWazazi wamekua na nafasi kubwa sana katika malezi ya watoto wao hata wakati pale wanapokuwa watu wazima lakini baba huyu kutokana na upendo kwa mwanaye aliamua kujiua baada ya kuona picha za mtoto wake alizopiga akiwa mtupu katika jarida laPlayboy nchini Romania.
Loredana Chivu anayeishialiamua kuweka picha hizo akiwa amepiga katika staili tofauti katika mitandao mbalimbali ya kijamii ambapo baba yake baada ya kuziona alimkana mwanaye huyo.
lore2
Loredana Chivu msichana aliyesababisha kifo cha baba yake
Kwa mujibu wa mtandao wa The Mirror, msichana huyo akisimulia kwa machungu baada ya kifo cha baba yake alisema hakutegemea kama ipo siku baba yake angekasirika kiasi cha kujitoa uhai.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA