VIONGOZI TPDC WATIWA MBARONI KWA KUINYIMA KWA KUINYIMA PAC MIKATABA YA GESI TANGU 2012



           
        James Andilile 


Kaimu Mkurugenzi wa TPDC na mwenyekiti wake wa bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.

Taarifa zilizotufikia hivi punde ndani ya chumba cha habari, kinaleleza kuwa Kaimu Mkurugenzi wa TPDC,bwa.James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi bwa.Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la hesabu za mashirika ya umma PAC,Kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.



TPDC yapewa siku mbili kukabidhi mikataba ya gesi




CHANZO MICHUZI BLOG

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA