AJALI MBAYA YA BASI LEO KAHAMA







Ajali mbaya ya Basi  LA Wibonela katika eneo la  Phantom mjini Kahama baada ya basi kupinduka ilipokuwa inakata kona kulekea Shinyanga road kutoka Kahama mjini, hapo Crane ya mgodini ikiinuwa ili maiti ziweze kutolewa!!.Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo uliopelekea dereva kushindwa kulimudu alipofika kwenye kona


Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI