MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI MH. LUCKSON MWANJALE AANGUKA GAFLA BUNGENI



Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chango cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa huko kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA