GOLIKIPA WA BAFANABAFANA ALIVYOAGWA KISHUJAA AFRIKA KUSINI



A hearse arrives at the Moses Mabhida stadium ahead of a funeral service of South African national soccer team captain and goalkeeper, Senzo Meyiwa, in Durban

SAFRICA-FBL-RSA-MEYIWA-FUNERAL

SAFRICA-FBL-RSA-MEYIWA-FUNERAL

Mazishi Kipa II
Mazishi Kipa
mAZISHI vi
Shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa golikipa na kapteni wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, Senzo Meyiwa zimefanyika mchana Novemba 1 Durban.


Mchezaji huyo alifariki baada ya kupigwa risasi siku ya jumapili majira ya saa 2 usiku, Oktoba 26 akienda kumuokoa mpenzi wake aliyekuwa amevamiwa na majambazi nyumbani kwake, tayari mtuhumiwa wa kwanza amepandishwa kizimbani jana Oktoba 31.Maelfu ya watu wamefurika uwanja wa Moses Mabhida, Durban mchana wa leo kwa ajili ya kuaga mwili wa golikipa huyo wakiwa wamevalia t-shirt zenye picha ya Meyiwa .


Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI