AJALI YA MPAKANI MWA ZAMBIA NA CONGO, TAHADHALI PICHA ZA KUTISHA


Magari makubwa yakiwaka moto baada ya moto huo kuzuka maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa 



AJALI mbaya ya moto imetokea juzi majira ya saa kumi na moja jioni maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo baada ya lori moja kulipuka kwa moto na kuchoma malori mengine yaliyokuwa jirani yake. Inadaiwa magari mengi yameungua yakiwemo kutoka Tanzania japo idadi kamili ya maafa yaliyotokana na ajali hiyo bado hayajafahamika.



Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI