MAMA ANNA MAKINDA AHUDHURIA MAZISHI YA RAIS WA ZAMBIA




Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake yatakayofanyika Jumanne Novemba 11, 2014


Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda na rais mstaafu Rupia Banda, mara baada ya Kuwasili katika Viwanja vya Bunge kushiriki Misa ya mazishi ya rais wa Zambia, Marehemu Michael Chilufya Satta mjini Lusaka Zambia leo Jumatatu Novemba 10, 2014. Rais Satta, aliyefariki wiki iliyopita kwa maradhi akiwa na umri wa miaka 77 anatarajiwa kuzikwa Jumanne Novemba 11, 2014



Wanajewshi wakiwa wamebeba jeneza lenya mwili wa marehemu Satta kwenye viwanja vya Bunge la Zambia

Spika Makinda, akiwa na viongozi wenzake kwenye misa hiyo
Makinda akisalimiana na Mama Maureen Mwanawasa Mke wa aliyekuwa Rais wa Zambia wa awamu wa tatu marehemu Mhe. Levy Mwanawasa

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA