NI WAKATI WA KUKIFICHUA KIPAJI CHAKO NA WANYENYEKEVUWABWANA..


Apostle Bashando Shaboka



Katika tamasha la Tanzania Gospel Hip Hop linaloandaliwa na

#WANYENYEKEVUWABWANA siku ya tar 23/11/2014 tutapata fursa ya kusikiliza na 

kutazama toka kwa vipaji vipya ambavyo vimekuwa havipati nafasi sana katika matamasha

mbalimbali ingawa wana kitu cha kimungu ndani yao. Halitakuwa tamasha tu bali itakuwa

ni siku ya kukutana na mambo mapya na makubwa ambayo Mungu ametuandalia kwa siku

hiyo.. Nimeshapokea nyimbo kadha wa kadha kupitia whats up no 0713 700 627 na 

ninaendelea kuzifanyia kazi katika kuwapanga watu wa kuimba siku hiyo. Na wewe ambae

utatamani kushiriki kwa namna yeyote hebu tuwasiliane mapema kuliko mwisho wa siku 

ukafika pale na kuanza kulazimisha vitu alafu visipowezekana ukakwazika bure, maandalizi

ni bora zaidi.. Mgeni rasmi amecomferm kuwepo ila sitamtaja kwa kuwa nataka iwe suplies

kwako.... Nyooooote mnakaribishwa...

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI