MWANAMUZIKI WA TWANGA PEPETA ''AMIGOLAS'' AMEZIKWA LEO


Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukiwasili nyumbani kwao Mburahati leo jijini Dar es Salam.

Mjane wa marehemu, Bi Modesta Emmanuel akiwa amezimia msibani.…

        Mkurugegenzi wa ASET, Asha Baraka akiwa msibani.

                    Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakilia msibani.

  Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukibebwa na waombolezaji kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.


Waombolezaji wengine wakijiandaa kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Viongozi wa dini ya Kiisilam wakiomba dua mara baada ya kuzika marehemu Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ kwenye makaburi ya Kisutu Jijini Dar jioni hii.


Hili ndilo kaburi alimozikwa Marehemu Khamis Kayumbu ‘Amigolas’.
MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki juzi  amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhudhuria na mamia ya watu.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI