KOCHA UFARANSA MATATANI KWA KUBAGUA WACHEZAJI



mchezaji wa zamani wa Ufaransa Lilian Thuram na mwenzake Willy Sagnol ambaye ndio mkufunzi wa kilabu ya Bordeaux 

Kocha wa klabu moja ya kandanda nchini Ufaransa anakabiliwa na shutuma kali kufuatia matamshi yake kuwa wanasoka kutoka afrika hawana maarifa
Kwenye mahojiano na gazeti moja Willy Sagnol alisema kuwa wanasoka kutoka Afrika wana nguvu lakini mchezo wa soka unahitaji maarifa, mbinu na nidhamu.
Mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa Lilian Thuram ameyakashifu matamshi ya kocha huyo huku chama kinachopambana na ubaguzi wa rangi kikitaka kocha huyo kuchukuliwa hatua.





Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA