PADRI MTANZANIA ANAYETUHUMIWA KULAWITI AFIA NCHINI MSUMBIJI


MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekua akitafutwa na mahakama ya rufaa Sixtus  Kimaro ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati akiwa Padri katika kaniska katoliki jimbo kuu la Dar es salaam amefia nchini Msumbuji  na mwili wake umesafirishwa kuja Dar.
Taarifa za kifo cha Padri huyo zililifikia Gazeti hili wakati tayari mwili wake ukiwa umefikishwa katika hospitali ya Jeshi JWTZ,Lugalo na baadaye zilithibitishwa na Askofu mkuu wa Jimbo Denis Wigilla.
Padri Wigila alisema taarifa za mazishi zinafanyika chini ya familia yake kwani tayari aliashaacha kazi ya Upadri hivyo kanisa halitahusika na taratibu za mazishi zitakazofanyika Mkoani Kilimanjaro.
Julai mwaka huu Padri huyo alitoroka n chini baada ya kuhiukumiwa kifumngo cha miaka30 jela ambapo alikua na mashtaka matatu ikiwemo kumlawiti motto wa kiume wa miaka17,shambulio la aibu na kumdhalilisha mtoto huyo.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA