NA MWALIMU PRISCA MWANG'OMBOLA            Nguvu za Mungu  hukaa kwa mtu anaye fanya maombi, huwezi kukaa  na nguvu za  Mungu kama wewe sio muombaji  maana ndio silaha kubwa ya  kuweza  kuzishinda hila za mwovu, kwa maana vita yetu haipo katika nyama na damu ipo katika roho na falme za wakuu wa giza.      Unapokuwa na nguvu za Mungu unakuwa na unakuwa na faida zifuatazo           1.  Unakuwa na uwezo wa kushinda nguvu za giza   Nguvu za Mungu zinatupa kushinda nguvu zote za giza,  hivyo ni vyema kuhakikisha unatembea na nguvu za Mungu na kujilinda na Mambo yote yanayosababisha nguvu za Mungu kupungua au kuisha kabisa.     (EFESO 6:10-13  10   Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.    11   Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.    12   Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu w...
 
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete