MSAFARA WA KINANA WASAFIRI KWA BAISIKELI KUTOKA WILAYA YA LUSHOTO MPAKA WILAYA YA MKINGA

      Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahamani Kinana akiwa na viongozi, pamoja na wananchi na wananchi wakiendesha baisikeli kwenda kata ya Mgaro katika miteremko ya milima ya Usambara, wakitokea Lushoto kwenda wilaya ya Mkinga jana kuendelea na Ziara ya kuimarisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
  Kinana na Nape wakifurahi baada ya kuwasili salama kwa kutumia usafiri wa Baisikeli
                                                                            Nape Nnauye

                                                              
     









 




























Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI