PICHA ZA AJALI YA ARUSHA ILIYOUWA WATU 12 JANA






                  Watu wakishuhudia ajali hiyo




Baadhi ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.




Waokoaji wakipandisha miili ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali.

Ajali hiyo imetokea maeneo ya Denishi Barabara ya Moshi Arusha ambapo katika Ajali hiyo Gari aina ya Toyota Hiece  imegongana na roli la mafuta ambapo watu tisa walipoteza maisha papo hapo.




Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA