MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR APIGA KURA YA WAZI YA HAPANA, ATOLEWA NJE KWA ULINZI

 Mwanasheria mkuu wa Zanzibar Othman Masoud akitolewa nje wa ukumbi .


          Mwanasheria mkuu wa Zanzibar Othman Masoud amepiga kura ya wazi ya kupinga vifungu kadhaa na vingine amevikubali, Baadae mjumbe mmoja aliomba nafasi ya kutoa taarifa na amemshambulia mwanasheria huyo kuwa hafai na wajumbe wengine wakiwa wanashangilia.
       Baada ya hali kuwa tete mwanasheria huyo alitolewa nje ya ukumbi kupitia mlango maalimu chini ya ulinzi. Mwanasheria huyo alipiga kura ya wazi na kuzikataa ibara kadhaa kama vile 2,9,70 hadi 75,86, 128,129, 158,159,160,161,243 na 251 na nyongeza ya kwa nza ambayo inataja mambo ya muungano.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI