BREAKING NEWS: AJALI NYINGINE KAHAMA USIKU HUU, DEREVA WA FUSO AFARIKI PAPO HAPO



Inasemekana dereva wa semi hiyo amefariki huku dereva aliyekuwa akiendesha Coster akivunjika mguu baada ya magari haya kugoganga usiku huu katika eneo la Trans Oil Wilayani kahama katika barabara kuu iendayo nchi jirani za Burundi, Rwanda na Uganda.

Endelea kufuatilia blog ya nyumbani kwa taarifa Zaidi.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA