ASKARI WA USALAMA BARABARANI WALIOPIGA PICHA ZA MAHABA WAFUKUZWA KAZI



  •  ALIYEWAPIGA PICHA NAE AFUKUZWA KAZI.
          Kamanda wa Polisi Mkoani Kagera Henery Mwaibambe ameeleza kuwa askari hao na mwenzao aliyewapiga picha wameshatambuliwa na tayari wamefukuzwa kazi.Askari hao walikuwa wanafanya kazi katika wilaya ya Miseji, Kamanda huyo alisema picha hiyo sio ya kuchakachua na imepigwa na Askari mwenzao ambaye pia amefukuzwa, na kuongeza kuwa wamelidhalilisha jeshi la polisi.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI