AJALI YA GARI ARUSHA

Ajali imetokea leo mchana ktk maeneo ya Airpot eneo linalojulikana kama  Makutano ya barabara ya AIRPORT ARUSHA. Ni baada ya askari polisi kusimamisha kwa ghafla gari aina ya Toyota Hiace.



Gari aina ya Toyota Noah likiwa limepinduka katika ajali hiyo.
Gari aina ya Toyota Hiace iliyogonga kwenye mara baada ya ajali.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA