POLISI WAIZUNGUKA NYUMBA YA GWAJIMA ASUBUHI YA LEO





Polisi wakiwa na defenders wamegonga mlango lakini hawajafunguliwa kuna defender zaidi ya nane...

Ni defender za polisi lakini wanaonekana wamevaa kiraia. Haijajulikana ni polisi kweli au sio polisi kweli.

Gari za polisi bado zipo zimezunguka nyumba.

Watu wameanza kujaa na polisi wameongeza magari yao; bado haijajulikana nn kinaendelea maana polisi hawajatoa taarifa yoyote hadi sasa. 

Waandishi wa habari wameanza kufika pia.

Hadi sasa kuna Defender 3, suzuki 1 na hilux ya police na noah yao tinted...








Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA